Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 18 amefunga mara mbli katika mechi tatu alizopangwa kikosi kinachoanza kabla ya kumdondoshea Dani Ceballos mpira mbele ya lango kufunga bao la nne na la kwanza kwake Arsenal, huku Joe Willock akifunga bao la tatu.
 
Emery alifanya mabadiliko kumi katika kikosi kilkichopambana na Manchester United Jumatatu, huku Ozil akiwa ameachwa.
"Nafikiria kila wakati jinsi ya kuamua wachezaji bora wa kupangwa katika kila mechi na wachezaji bora kwenye timu kwa ajili ya kucheza na kutusaidia," alisema Emery alipoulizwa kuhusu kuachwa kwa Ozil.
 
Wakati napoamua kuwa asiwe kwenye timu ni kwa sababu nimeona hastahili."
Kiungo huyo Mjerumani kwenye umei wa miaka 30 amekuwa na wakati mgumu wa uhusiano wake na Emery na kutokuwepo kwake kwenye timu kutaongeza uzito wa ubashiri kuwa hana muda mrefu kwenye klabu hiyo.
 
Huu ni ukweli bro.

Ahsante kwa kutukumbusha.

 
Mpaka leo sijaelewa kilichotokea yaani. Maelezo yaliyotolewa yalikuwa butu sana. Ninachojua tu ni kuwa ankoo alikuwa mojawapo ya sababu kuu. Hata sijui ushiriki wake ulikuwaje....
View attachment 1224335
Na wewe ulihusika vizuri tu na bet mkaweka mwisho wa siku kijana down na jina la bro likaanzia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…