Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Nisizungumze Wanaume tu hata Wanawake siku hizi wanatoa sana rushwa, hasa Vijana unanunuliwa gari na Mwanamke anayefanya kazi unamsahau hata Mke wako, hiyo ni rushwa pia ya ngono, ndio maana leo nimekuja na Mke wangu ili nisionekane kwamba nimepewa rushwa"- JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…