Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kocha Unai Emery amesema Mesut Ozil hakustahili nafasi hata kwenye kikosi kilichojaa wachezaji chipukizi cha Arsenal kilichoishinda Standard Liege kwa mabao 4-0 katika mechi ya Kombe la Europa.
Hili kocha letu la hovyo sijawahi ona.Kweli fundi Ozil ni wa kudharaulika kiasi hiki?

Pumbafu zake huyo Unai.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa agizo kwa Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Singida, Adili Elinipenda amchunguze Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkalama, Godfrey Sanga kwa matumizi mabaya ya fedha za umma.
_
Baadhi ya tuhuma alizonazo ni kujilipa posho ya safari March mwaka huu bila kusafiri, kuwasainisha watumishi wa chini yake vocha na kisha kuwapa ‘asante kidogo’ kwa madai fedha hizo zinaenda Mkoani, kujilipa stahiki kabla ya wakati na kuagiza gari liende gereji kwa matengenezo bila nyaraka zozote.
_
Majaliwa ametoa agizo hilo leo jioni Jumamosi, Oktoba 5, 2019, wakati akizungumza na Madiwani na watumishi wa Halmashauri hiyo kwenye Mkutano uliofanyika ukumbi wa Halmshauri hiyo.
_
“Kamanda wa TAKUKURU leta Maafisa kutoka Mkoani waje wafanye ukaguzi wa kila jambo ambalo limeainishwa, hatuwezi kuacha Halmashauri iendeshwe kienyeji bila kufuata taratibu,Mkalama inaonekana chafu kumbe tatizo ni mtu mmoja, mnasaini vocha halafu mnamsingizia RAS"
 
JE WAJUA NI WANYAMA GANI WENYE FAIDA KUBWA NA MWANADAMU ?
Yawezekana kabisa ulishawahi kujiuliza kuwa ni mifugo gani ambayo ukiifuga yaweza kukutengenezea pesa nyingi, basi leo nitakuletea orodha ya wanyama ambao wana faida kubwa endapo utaweza kuwamudu katika ufugaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…