Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi ule uzi wa photo kaka zangu ziwaoni kule,Simba ya buyenze, Ningendako, Bradha, Capitalpool na wengine najua ule uzi mnaufatilia kimya kimya.
Kaka zako akina nani? Mi nitoe kwenye hili kundi lako la ukaka.

Ninge ameshatuwakilisha huko inatosha. We mwenyewe hii siku ya tatu nakodoa macho nione ushombe shombe hata kama ni ndani ya hijab lakini holaa hakuna kitu. Siyo poa mpendwa [emoji36][emoji36]
 
 
Mtu akishapanda cheo priorities zake na cycle of friends zinabadilika pia. Watu wa chini inabidi wabadilike pia accordingly.

Hujambo lakini sis?
 
Naomba sreenshort ya Ningendako πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…