Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Ninge kajitoa kwenye ubrozone 🏃Dah! Ninge kachukua tayari!?
I never see it coming.
U mzima ca'pool?
Ninge kajitoa kwenye ubrozone 🏃Dah! Ninge kachukua tayari!?
I never see it coming.
😂😂😂😂😂😂😂 We nae mbona ulikwama kwa brother NgoshaWe unakwama wapi mzee baba fanya mpango basi hata kwa Numbisa 😜🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Unamatatizo gani Hawachi?We unakwama wapi mzee baba fanya mpango basi hata kwa Numbisa 😜🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Nko sawa,Ninge kajitoa kwenye ubrozone 🏃
U mzima ca'pool?
😂😂😂😂😂Sijakwama😂😂😂😂😂😂😂 We nae mbona ulikwama kwa brother Ngosha
Sina uhakika ila hapa majuzi kati brothers wa hapa karibia wote waligoma kuitwa bro ' eti zone ya u-brothers, uhenga , u-friends itawanyima mambo mazuri 😅Nko sawa,
Kwani mimi nilikuepo kwenye huo U-brozone?
Kumbe mambo yalieleweka 😅😅😂😂😂😂😂Sijakwama
Sina bae nilitegemea uwe bae wangu ukanikataa kisa Single Mama 😀😀😀😀Unamatatizo gani Hawachi?
Hivi kwani hapa ndani nani bae wako?!
Mambo gani yalieleweka mpendwa sikuelewi 😀😀😀😀😀. Nilikusubiri pm nikachoka.Kumbe mambo yalieleweka 😅😅
Halafu ukuje PM Dada mzuri
Ha hahSina uhakika ila hapa majuzi kati brothers wa hapa karibia wote waligoma kuitwa bro ' eti zone ya u-brothers, uhenga , u-friends itawanyima mambo mazuri 😅
Sasa vipi na wewe hutaki kuitwa Bro?
Mpendwa wangu Hawachi wa Milele usinifannyie hivyo ujue😃😃Sina bae nilitegemea uwe bae wangu ukanikataa kisa Single Mama 😀😀😀😀
Niliumia siku ile ulipo nikataa hapa jukwaani baada ya kukwambia nina watoto ukaandika siwezi kulea timu ya mpira. Nimeamua kutokua na bae 😀😀😀😀Mpendwa wangu Hawachi wa Milele usinifannyie hivyo ujue😃😃
Yani unataka kuninyima hivihivi naona!?
😂😂😂 sasa mnaikataa iyo zone basi mtoe na majina mbadala ya kuitwaHa hah
Me nataka mambo mazuri Buana!!
U-Bro/U-friend zone abaki nao Yego na Genge lake.
Mambo yako na brother NgoshaMambo gani yalieleweka mpendwa sikuelewi 😀😀😀😀😀. Nilikusubiri pm nikachoka.