Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji2][emoji2][emoji2] nikuone basi hata PM jibaba la kisukuma aka Ngosha the Don, plziiii
Niombee ruhusa kwa Bae wako Ninge kwanza. Akikukubalia nakurushia. Tuna strict bro code ya kutoingiliana kwenye makoloni yetu. Bila shaka ulisoma hata ile Berlin Conference ya Nov 1884 - Feb 1885 wazungu walipokaa na kuelewana kutoingiliana katika makoloni yao. Lengo ni kuepusha migogoro isiyo ya lazima [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom