Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ameeleza tunda hilo lina vitamini B6 ambayo husaidia ubongo kufanya kazi vema, kubadilisha protini kuwa nishati na ni chanzo cha madini ya potasiamu.
Capital anaitwa dear so hamna koloni humuNiombee ruhusa kwa Bae wako Ninge kwanza. Akikukubalia nakurushia. Tuna strict bro code ya kutoingiliana kwenye makoloni yetu. Bila shaka ulisoma hata ile Berlin Conference ya Nov 1884 - Feb 1885 wazungu walipokaa na kuelewana kutoingiliana katika makoloni yao. Lengo ni kuepusha migogoro isiyo ya lazima [emoji16][emoji16][emoji16]
Mjini hapa kuna watu hawana bahati kabisa yani!!Sawa bro 🏃🏃
Mnanichanganya sasa. Halafu ndo nimetoka usingizini. Nilifikiri Ninge na Depal wamekuwa Mahondaw na Smart? Aaaargh !!![emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Capital anaitwa dear so hamna koloni humu
Ngoja nimfuate PM nikampe ushauri. Ila naye huwaga yuko slow kobe cha mtoto kwenye haya mambo japo nadhani ana usimba mwenda pole....jirani style [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Hamna ni jina tu. Ninge bado single na bado yupo ndan ya ubro zone