Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Ninge kajitoa kwenye ubrozone πDah! Ninge kachukua tayari!?
I never see it coming.
πππππππ We nae mbona ulikwama kwa brother NgoshaWe unakwama wapi mzee baba fanya mpango basi hata kwa Numbisa ππββοΈπββοΈπββοΈ
Unamatatizo gani Hawachi?We unakwama wapi mzee baba fanya mpango basi hata kwa Numbisa ππββοΈπββοΈπββοΈ
Nko sawa,Ninge kajitoa kwenye ubrozone π
U mzima ca'pool?
πππππSijakwamaπππππππ We nae mbona ulikwama kwa brother Ngosha
Sina uhakika ila hapa majuzi kati brothers wa hapa karibia wote waligoma kuitwa bro ' eti zone ya u-brothers, uhenga , u-friends itawanyima mambo mazuri πNko sawa,
Kwani mimi nilikuepo kwenye huo U-brozone?
Kumbe mambo yalieleweka π ππππππSijakwama
Sina bae nilitegemea uwe bae wangu ukanikataa kisa Single Mama ππππUnamatatizo gani Hawachi?
Hivi kwani hapa ndani nani bae wako?!
Mambo gani yalieleweka mpendwa sikuelewi πππππ. Nilikusubiri pm nikachoka.Kumbe mambo yalieleweka π π
Halafu ukuje PM Dada mzuri
Ha hahSina uhakika ila hapa majuzi kati brothers wa hapa karibia wote waligoma kuitwa bro ' eti zone ya u-brothers, uhenga , u-friends itawanyima mambo mazuri π
Sasa vipi na wewe hutaki kuitwa Bro?
Mpendwa wangu Hawachi wa Milele usinifannyie hivyo ujueππSina bae nilitegemea uwe bae wangu ukanikataa kisa Single Mama ππππ
Niliumia siku ile ulipo nikataa hapa jukwaani baada ya kukwambia nina watoto ukaandika siwezi kulea timu ya mpira. Nimeamua kutokua na bae ππππMpendwa wangu Hawachi wa Milele usinifannyie hivyo ujueππ
Yani unataka kuninyima hivihivi naona!?
πππ sasa mnaikataa iyo zone basi mtoe na majina mbadala ya kuitwaHa hah
Me nataka mambo mazuri Buana!!
U-Bro/U-friend zone abaki nao Yego na Genge lake.
Mambo yako na brother NgoshaMambo gani yalieleweka mpendwa sikuelewi πππππ. Nilikusubiri pm nikachoka.