D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Andaeitini wa kishua unaijua hata koroboi inafananaje au unajiandikia tu? [emoji16][emoji16][emoji16]Hayaoni macho yangu, Kiza kinene
Koroboi utambi umetumbukia, Kiza kinene
Ukiniitaga Shimba Ngosha The Don yaani nasikiaga raha ya ajabu mpaka na kimzizimo cha fikra juu. Hujui tu...[emoji16][emoji16][emoji16]Tena anapambana liondolewe kwenye kamusi ya uzi kama BAK na vijana wa lumumba
Chenza la A....enzi zileeeeee [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila Muumba naye fundi. Hebu tazama alivyolipasua [emoji7][emoji7][emoji7]
Fimbo ya maajabu...[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]View attachment 1225078
Shetani hapo lazima ashinde
The Don mie koroboi naijua vizuri hadi kuweka utambi nawezaππ......King ndo msababishaji ila hana habariπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ nisaidie kumwambia broπAndaeitini wa kishua unaijua hata koroboi inafananaje au unajiandikia tu? [emoji16][emoji16][emoji16]
Na kama kweli kiza kinene kimeingia, King analijua hili?
JB hoiiii dah!
Bro? Mimi huyu? Thubutuuu !!!The Don mie koroboi naijua vizuri hadi kuweka utambi nawezaππ......King ndo msababishaji ila hana habari[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088] nisaidie kumwambia bro[emoji23]
Laiti kama kungekuwa na uwezo wa kutuma voicenote walahy, ungekufa kabisaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£Ukiniitaga Shimba Ngosha The Don yaani nasikiaga raha ya ajabu mpaka na kimzizimo cha fikra juu. Hujui tu...[emoji16][emoji16][emoji16]
#KingWakoAsiioneHii