Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Adama Adama
utajipozea machungu kwa sevilla
Hiyo nayo game ngumu kweli Daah!utajipozea machungu kwa sevilla
alama 8Hili genge la wahuni leo limezingua sana
Acha tu bro gape limekua kubwa sana na wale majamaa wana hasira kama wamepakwa pili pili kwenye makalioalama 8
Kween adi wewe?ndo maana haongei😀😀😀
mwaka jana mulibahatika walipoteza point ovyo sasa sijui mwaka huu kama watarejea tena kosa.Acha tu bro gape limekua kubwa sana na wale majamaa wana hasira kama wamepakwa pili pili kwenye makalio