Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

siasa kulee kwa paskali mayalla.
yule mzee akiandika makala utadhani wasomaji wanalipia.
zinakuwa ndefuuuu kama the great wall
Na kamanda BAK kakwama huko ama?

Mayala hiyo ni profesheni yake na nadhani akiandika huwa anadhani kuwa anandika kwenye gazeti. Napenda jinsi anavyoainisha mambo huku akiuma na kupuliza kote kote
 
Dooh![emoji17][emoji17]
tenor.gif
 
Raundi moja ndefu komavu yenye vikolombwezo lukuki tena iliyofanywa vizuri hatua kwa hatua ikakufikisha mawenzi zaidi ya mara tatu inakutosha kabisa. Tena mwenyewe utalia na kusema The Don nimeshatosheka miye niwache nilale halooooo [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]

Mizigo hii ninayohangaikaga nayo kulinda heshima ya ukoo bila hivyo ningekuwa nshaRIP zamani sana. Raundi nyingi hazina uhusiano na quality ya gemu na idadi ya safari za kwenda Kibo na Mawenzi !!!
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom