Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Shemeji unauza hii kitu? Moja bei gani? Kwa supu ni safi sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Shemeji unauza hii kitu? Moja bei gani? Kwa supu ni safi sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Sahihisho: "The Don katika ubora wake"Bro katika ubora wake hahahahaa
Naona mwenye mali (King) hajaona [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeh
Bro bro acha hizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bageshSahihisho: "The Don katika ubora wake"
#BilaPromoUtasubiriSanaPromo [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂Na uzuri ni kwamba msimu huu kuna VAR
#usijeigamchezowaMzeeWaLiver
#KubanaNaniii
Mimi sina siksi paki. Nina kakitambi fresh tu kananisaidiaga sana kufutia TECNO yangu...babu SHIMBA YA BUYENZE kuna mdau anataka fomu ya usajili wa kujiunga humu ndani na nimemwambia aonane na wewe (msukuma pekee mwenye six pack)
Tuliwahi kuwa wote ukapukunibabu SHIMBA YA BUYENZE kuna mdau anataka fomu ya usajili wa kujiunga humu ndani na nimemwambia aonane na wewe (msukuma pekee mwenye six pack)
Nakuona bro[emoji23]Naona mwenye mali (King) hajaona [emoji16][emoji16][emoji16]
Ohoo, ila Mtu na kaka yake hampeani tabu[emoji12][emoji12]Anasubiri ashinde ndio aje apige kelele maana nae timu yake imebaki kuwekwa makumbusho tu sasa
siasa kulee kwa paskali mayalla.Mimi sina siksi paki. Nina kakitambi fresh tu kananisaidiaga sana kufutia TECNO yangu...
Mwambie ajisikie huru tu. Cha muhimu asije na gia za siasa (kupita kiasi), matusi au ponografia [emoji16]
Indeed Walai bila kujipigia Assist mambo hayatakua sawa kimtindo#BilaPromoUtasubiriSana
Hashtag yako mwenyewe halafu [emoji16][emoji16][emoji16]
Tena sana. Ulipotea ghafla na "Leo Katika Historia" yako ikafa kifo cha mende.Tuliwahi kuwa wote ukapukuni
hao ni wadudu gani?Abeee
Umeniita?View attachment 1225220