Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Itazame Afrika Kusini na mauaji ya waafrika kwa waafrika halafu fikiri tatizo ni kitu gani kama si upoyoyo uliorithishwa na kukuzwa katika vichwa vyetu wenyewe? Ah masikini! Wema walio wengi wamefunikwa na mapoyoyo wachache wenye nguvu na sauti inayokatisha tamaa ya ustaarabu mwema.
 
#Shibe

Poyoyo ni jeuri alieshiba kibri kwa sababu nae kapita katika mashaakil ya maisha magumu huko nyuma. Lazima nae akuadhib wakati mwengine kwa kufikiri adhab anayokupa ndio itakayokujenga kama ilivyomjenga yeye. Haki kwake yeye ni ya nguvu na ashki yake inavyompelekesha.

Mantik yake huwa ndio sehemu ya maamuzi ya hukumu zake na hana muda wa kutosha kusikiliza hoja mbadala dhidi ya mantik na ile ashki yake. Hujaa dhahiril heyba lakini rohoni huelewi anavyosugulika roho na dogo tu.
1570375472647.png
 
#Mathalan

Utatafuna ubani wa kukipa kinywa unadhif utaomsaidia yeye unapomsalim asipate bughdha ya haruf lakini anaweza kabisa kuutizama ule mdomo unaochakuwa ubani kwa ghadhab ya kuwa ana wakati huyu wa kukifikiri kinywa chake kisinuke?

Poyoyo anajenga dhana ile Big G ya senti ahmar na udogo wa thamani yake kwako ni anasa usiostahili kwa umri wako kwa vile yeye hakubahatika na fursa ya maisha rahisi ya leo katika wakti wake. Kwa poyoyo ukienda ukamkuta chongo basi nawe ufunge jicho lako moja maana atalibandua tu kwa atachokiona kama haki na usawa.

1570375586166.png
 
Ndio nani huyo?
atakuja muda si mrefu kuanzia sasa.
sifa zake

  1. aliwahi kumtelekeza stendi ya mabasi mwanamke mwembamba kama betina.
  2. nukuu ya ng'ombe hazeeki mapafu ndio inamuhusu.
  3. ana kichogo cha mbele kama spika ya magufuli
  4. ndie mzee pekee mwenye mbuga sita za wanyama (six packs)
  5. alishawahi kumkaribisha ghetto mwanamke lakini akamsamehe kwa sababu alimkuta ana mapengo
jina lake niiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii SHIMBA YA BUYENZE eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
makofi tafadhaliiiiiii
 
Kumbe nawe ni mkorofi 😀😀😀
 
umenikumbusha hadithi ya mama na mtoto wake mwenye wastani wa mwaka 1.5.
mama anataka kumnyonyesha mwanawe ndani ya gari lakini mtoto akawa analeta nyodo.
mama akamwambia mtoto ukikataa kunyonya nitampa uncle.

mhhhhhhh uncle alimkodolea mimacho mtoto ili dogo aendelee kugomea kunyonya maziwa.
uncle aliamini kugoma kwa mtoto ndio faida kwake.

chonde chonde mpendwa wangu naomba hao wajinga wengine uwaite mkuu.
nahofia wataniibia bahati yangu kama uncle kama utawaita mpendwa
Habari za kupotea,wajukuu hawajambo?
 
Back
Top Bottom