Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
#NipomakinimpakaumakiniunamwagikaNakuona bro[emoji23]
#kingajiangalie
#mezainapinduliwakibabe
Na kamanda BAK kakwama huko ama?siasa kulee kwa paskali mayalla.
yule mzee akiandika makala utadhani wasomaji wanalipia.
zinakuwa ndefuuuu kama the great wall
Nimekaribia sana kamandaTena sana. Ulipotea ghafla na "Leo Katika Historia" yako ikafa kifo cha mende.
Karibu sana hata huku kamanda.
That's my bro...Indeed Walai bila kujipigia Assist mambo hayatakua sawa kimtindo
#Bilapromomambohayaendi
Hahah! Noma sanaOhoo, ila Mtu na kaka yake hampeani tabu[emoji12][emoji12]
Hapo ni mwendo wa kuwa karibu na rimoti yako tujuventus vs inter milan
barcelona vs sevilla.
naziona dalili za kulala saa 7 usiku
Asante dear, kushabikia mchepuko(Man u) si ruksa?[emoji41]Pole The happiness
ASANTE kamanda. Jisikie huru kabisa [emoji1545]Nimekaribia sana kamanda
Hashua hizohao ni wadudu gani?
au chakula gani?
Unazidi kujitafutia matatizo tu huko utazidi kuumiaAsante dear, kushabikia mchepuko(Man u) si ruksa?[emoji41]
#Basimsiniangushee
[emoji23][emoji23][emoji23]#Nipomakinimpakaumakiniunamwagika
#Usijaliwakutekwa
Pamoja sanaASANTE kamanda. Jisikie huru kabisa [emoji1545]
π π π[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo # ya mwisho sasa
Dada wa kweli lazima akuchangamshee, dada hafai kupoa kama uji wa mgonjwa[emoji28]Hahah! Noma sana
Hana udada huyo kwanza siumeona fujo zake? Angekua dada kweli angenifariji
1-0Heheheheeee kwangu tushazoea hali kuwe na jua au mvua hakuna matata ila kwenu mmh hali mbaya kukinyesha kidogo tu mafuriko mpaka kwa rum
King atafanya kazi yake[emoji473]Unazidi kujitafutia matatizo tu huko utazidi kuumia
ππππRaundi moja ndefu komavu yenye vikolombwezo lukuki tena iliyofanywa vizuri hatua kwa hatua ikakufikisha mawenzi zaidi ya mara tatu inakutosha kabisa. Tena mwenyewe utalia na kusema The Don nimeshatosheka miye niwache nilale halooooo [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Mizigo hii ninayohangaikaga nayo kulinda heshima ya ukoo bila hivyo ningekuwa nshaRIP zamani sana. Raundi nyingi hazina uhusiano na quality ya gemu na idadi ya safari za kwenda Kibo na Mawenzi !!!
Duh!!Abeee
Umeniita?View attachment 1225220