Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

a7ec3fcc-dae5-4a4b-86dc-ff14b8d58316.jpeg
 
Just like that. Gumu la Wagumu in da hausi indeed wallahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei and Masaki Peninsula is mai niu homu japo kwa sasa nimehamia Dubai ende Lucifer Orijino is mai neimu....

Hahaaa... Gumu kama gamba la Kobe. Hata ulipige kwa Sledgehammers, hulivunji walahi! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Naunga mkono hoja.
Raundi moja ndefu komavu yenye vikolombwezo lukuki tena iliyofanywa vizuri hatua kwa hatua ikakufikisha mawenzi zaidi ya mara tatu inakutosha kabisa. Tena mwenyewe utalia na kusema The Don nimeshatosheka miye niwache nilale halooooo [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]

Mizigo hii ninayohangaikaga nayo kulinda heshima ya ukoo bila hivyo ningekuwa nshaRIP zamani sana. Raundi nyingi hazina uhusiano na quality ya gemu na idadi ya safari za kwenda Kibo na Mawenzi !!!
 
Back
Top Bottom