The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
My All time fav [emoji171]
My All time fav [emoji171]
Aisee... Kitu kitamu sana hicho
Wazee wa chenza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Chenza la A....enzi zileeeeee [emoji16][emoji16][emoji16]
1-1Inter 0-1 Juve
Mechi kali
#usimwiteAlbinoKing🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️Achana na Traore bro mzingatie huyu Albino
View attachment 1225257
Mkuu ahsante kwa angalizo. Huyu binti najitahidi kusoma mabandiko yake yote lakini hakuna hata linalo gusa maeneo yangu ili yasisimke.Numbisa umeziweka faida za tikiti maji lakini cha kushangaza sijaiona tiba yake ya nguvu za kiume
Hadi rahaMechi kali
Mkuu usiseme hivyo, hata hiyo round moja kuna muda inagoma inaishia robo, ikifika robo na nusu ni ahsante Mungu... Full kujipongeza kwa kukoroma ezi ifu ni kazi nzito sana imefanyikaumeona eeeeehhhhhh!
nashangaa huko kwenu munahangaika na miguvu ya kiume wakati roundi moja tu inazalisha mtoto.
kama anataka raundi 10 si atafute roboti la mashineeee
Goli la la Ronaldo linakataliwa kwa OffsideHadi raha
Hii mechi fujo tupu[emoji38]Goli la la Ronaldo linakataliwa kwa Offside
Haiyayayaaaa!!!wapi hiyooo[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji12][emoji12]
Mechi hii inajulikana kama "Derby d'Italia" ndio maana vurugu nyingiHii mechi fujo tupu[emoji38]
Yaani hii midude ina raha yake kuitafuna huku ikimezewa na Kvant/nyagi... Umenikumbusha mbaaaaliii
Ooh kumbe , kipindi cha pili utanihadithia keshoo[emoji42]Mechi hii inajulikana kama "Derby d'Italia" ndio maana vurugu nyingi