Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wataalamu wa Masuala ya Lishe , wanasema njia bora za kupunguza shinikizo la damu ni kula vyakula vinavyosaidia mishipa itanuke ili kuufanya moyo usiweze kufanya kazi kupita kiasi.
Hatari tupuUjenzi unaendeleaView attachment 1226577
mbona mimi sijawahi kupokea maneno ya faraja kutoka kwako zaidi ya povu la sabuni ya OMO.
mbona mimi sijawahi kupokea maneno ya faraja kutoka kwako zaidi ya povu la sabuni ya OMO.
alisikika mlevi mmoja
kuna huyu Depal na yeye anashindwa kunipa pole mwisho wa siku ananiambia.Hahahaahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
The day Manchester United will win a game.. It will be the headline allover the worldView attachment 1226618
Hahahaha maneno ya faraja natoa Sema mpendwa hauko tayari kuyapokea kipindi hiki 😀😀mbona mimi sijawahi kupokea maneno ya faraja kutoka kwako zaidi ya povu la sabuni ya OMO.
alisikika mlevi mmoja
upo sahihiHahahaha maneno ya faraja natoa Sema mpendwa hauko tayari kuyapokea kipindi hiki 😀😀
Wala mimi sio Mpinzani mpendwa timu yoyote nashangailia kifupi Sio shabiki sana wa mpira.upo sahihi
nyakati hizi kupokea maneno ya faraja unaweza kuyachukulia kama ni unafiki fulani kutoka kwa wapinzani wako.
sijui kwa nini Mungu hakutupa uwezo wa kuweza kukifahamu anachokiwaza mwenzako