Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kuna huyu Depal na yeye anashindwa kunipa pole mwisho wa siku ananiambia.
"honey kama vipi hamia chelsea ili tusherehekee pamoja"

siku tutakayofungwa si itakuwa ni mwendo wa kununiana ovyo ndani siku nzima kama paka wanapotaka kufanya mapenzi.

View attachment 1226620
😃😃😃tukifungwa wote huoni ndio itakuwa nafasi nzuri ya kubembelezana na kupozana machungu
 
Wala mimi sio Mpinzani mpendwa timu yoyote nashangailia kifupi Sio shabiki sana wa mpira.
hata mtu wako wa karibu anaweza kuwa ni mpinzani wako wa fikra pindi mambo yanapokuwa vibaya.
unaweza hata kukosa imani na mawazo ya mwenza wako wa ndani.
usiniambe ya kwamba situation kama hiyo hujawahi kukutana nayo kwenye maisha.
 
Nimewahi mpendwa ila sio kwenye mpira huwa nashangaa mtu anakosa amani nafuraha kisa timu yake imefugwa.
 
Back
Top Bottom