moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwa ajili ya matukio ya kunga’twa na buibui na ng’e hatari, unaweza kumpa majeruhi diazipamu kuzuia misuli kukakamaa na pia kumtuliza mgonjwa wakati mnafanya maandalizi ya kwenda hospitali au kituo cha afya.
ni kweli huyu mzee alifukuzwa Tanzania?Allahu Magfillah fir jannah[emoji120][emoji120]View attachment 1226749
Haahhaa aah nisamehe tu yaani una comment yenye komedi nyingi ndani yake. Pole kwa kuumwa na tanduusiku mmoja nimelala nilitafunwa na mdudu tandu tena karibu na sehemu ya makalioni nikiwa maeneo fulani, ebwana wee nilikuwa natembea ovyo kama baradhuli wa malindi anayetoka kupewa huduma na mabaharia wa kiarabu.
sikupata tena usingizi siku hiyo.
Mungu aniepushe nisije nikakutana na balaa la nyoka, kama tandu alinifanya nikose class siku ya pili yake naamini huyo nyoka atanipiga ban ya mwezi mzima kama moderatorHaahhaa aah nisamehe tu yaani una comment yenye komedi nyingi ndani yake. Pole kwa kuumwa na tandu