carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
#nakuonabaeunapambana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#achaapambanenasiswake
#nakuonabaeunapambana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#achaapambanenasiswake
7800 itamtosha.Jacket liwe limeandikwa tanzania na nauli yake ntampa mimi
Nsamaka
Asante sanaPoleni wakulima
Yuko busy analima[emoji23][emoji23][emoji23]Yupo utampata[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]usiku mmoja nimelala nilitafunwa na mdudu tandu tena karibu na sehemu ya makalioni nikiwa maeneo fulani, ebwana wee nilikuwa natembea ovyo kama baradhuli wa malindi anayetoka kupewa huduma na mabaharia wa kiarabu.
sikupata tena usingizi siku hiyo.
thank you so much my love from another star[emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa unanifurahisha na comment zako
Huyu 1500 inamtosha7800 itamtosha.
kwani hatokei mwanza?Huyu 1500 inamtosha
7800 nyingi sana