D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Ilimtokea kuna kipindi alikuja mtu ambae ni wa kimaajabu ambae hakumuona wala kumkariri akagonga mlango kisha akampa kipande cha karatasi na kutoweka kimazingara kipande kikiwa na Maandishi yanayosomeka " May your spirit live, may you spend milion of years, you who love Thebes, sitting with your face to the north wind, your eyes beholding happiness " tokea mwaka 1922 hadi mwaka 1939 akiwa na miaka 64 ndio akafariki kwa cancer ya kawaida isiyo na chembe ya laana ndani yake. Na hayo maandishi ya kwenye kikaratasi yamewekwa kwenye kaburi lake alimozikwa Howard Carter.