Ulishawahi kugundua kuwa unapokuwa na pesa, huwa unakuwa na kakiburi fulani kalikojificha ambako kuna muda kanavuka mipaka kiasi kwamba unamkosoa hata Mungu?
kila unapokaa mwenyewe unamtaja ndani kwa ndani ukimuomba akupe tena pesa kama zile ulizochunwa huku ukimuahidi kwamba safari hii utazitumia kwa akili sana.
Kuchepuka, au kutoka kwenye utaratibu uliojipangia na kufanya vitu tofauti kwa kujiliwaza na kujifunza, ni mojawapo ya sababu za kuongeza ladha ya maisha.
Hii ni muhimu na unastahili kufanya mara kwa mara, hasa linapokuja swala la chakula.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]