Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanaume tuendelee kufurahia kuchunwa, kuna faida nyingi sana.
upo sahihi faida nyengine ya kuchunwa kwa mwanaume hupelekea kuongezeka kwa hamu ya tendo la ndoa.

mwanaume unachunwa weeeeeee unabaki kujipa matumaini ya uongo.
wewe dada endelea kunichuna hivyo hivyo lakini ukiingia kwenye 18 zangu utarudi kwenu ukiwa mlemavu kwa kipigo cha ukweli kutoka kwa mzee wa usukumani
 
Screenshot_20191008-185621_1570552915488.jpg

Tafadhalini msipunjane
 
Back
Top Bottom