Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Leo we na shogako anonimazi foreva mna nini? Bila shaka injini ziko on [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji116][emoji116][emoji116]Those good ole days...


View attachment 1226869
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa mfano, hili zoezi la kukamatwa wavaa nguo fupi na wanyoa viduku, Watanzania wote tunaweza kuwa tunalichukulia kama operesheni ya kunyoosha maadili tu, lakini wewe peke yako ukawa na maono ya mbele zaidi na ukaona fursa ya kupata hela humohumo ndani;
 
unawaza kwamba itakuwaje ukipata tenda ya kuwa unawanyoa vijana wote watakaokamatwa na viduku? Au wadada wanaokamatwa na vimini, wanyang’anywe, halafu wewe uvinunue kwa bei ya kutupa, na ukaviuze Nairobi Kenya ambako bado vina soko? Huwezi kuwa na mawazo ya hivi bila kuchunwa kisawasawa.
 
Unapofikia hatua hii, bila hata kulazimishwa unaanza kujikuta unarudisha upendo kwa mkeo hata kama ulikuwa unamkwepa kwepa, kwa sababu yeye ndiye mwanamke pekee hapa duniani ambaye labda anaweza kukupenda na kukurekebishia mambo yako bila kumlipa. Usingechunwa ungemkumbuka lini?
 
Back
Top Bottom