Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hii kauli bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanawake wote uchumi mnao lakini mumeukalia"
mbona kauli nyepesi tu hiyo,Hii kauli bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengine wanaomba wenyewe kama hivi yaaniupo sahihi faida nyengine ya kuchunwa kwa mwanaume hupelekea kuongezeka kwa hamu ya tendo la ndoa.
mwanaume unachunwa weeeeeee unabaki kujipa matumaini ya uongo.
wewe dada endelea kunichuna hivyo hivyo lakini ukiingia kwenye 18 zangu utarudi kwenu ukiwa mlemavu kwa kipigo cha ukweli kutoka kwa mzee wa usukumani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vitatandikwa ngumi za kutoshambona kauli nyepesi tu hiyo,
muheshimiwa raisi amewaambia wanafunzi wa kike hadharani ya kwamba wakitongozwa na wanaume vikwiri kwiri kama mkate wa ufuta wawajibu hivi.
kamtongoze mama yako
😀😀 kwahiyo kama bae angekuja we kilichofanya usije ni kipi?Huyo mnayeitana bae sialisema anakuja?
🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️
hizi link za hashtag zimegoma kufanya kazi?#wotenyiewawilibaenabrommeniachanimenyeshewamvua 🙄
Hayaulinikebehi ndo nikakujibu ivyo
unaogea sabuni ganiHaya
[emoji818][emoji818]Kujenga upendo na familia
SawasawaNi muhimu kutoka na familia, kwenda kula vyakula tofauti ili kuweza kujenga upendo kati yenu na kupata muda wa kupumzika kwa pamoja.
unaingiliwa kinyume halafu unahadithia?Baada ya kununua nyumba kwa mnada, familia nzima wanaingiliwa kinyume na maumbile 'non stop' kila siku usiku
TANGA: Kuna jamaa alikopa NMB benki 35mil kwa dhamana ya nyumba yake ili afanye biashara. Bahati mbaya sana biashara ilienda mrama akapata hasara na kufirisika kabisa hivyo kushindwa kurejesha deni NMB. Baada ya muda wa rejesho kupita, NMB wakatangaza mnada wa ile nyumba ili pesa yao irudi...www.jamiiforums.com
Duh! Wewe!!Kuchepuka ni muhimu, ila muhimu zaidi ujue jinsi ya kuchepuka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]View attachment 1226916