Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahaha jamaniiiView attachment 1226951ningendako hujapoa kwani na chama lako na mama Ester united?
Wale mashabiki kindaki ndaki wanatia huruma sana na masuala ya kubet ndo kabisaa yanawamalizaMpe pole bana, hali ni mbaya sana!!
Ata huku kanda kusini mashariki ni joto tuIna maana wote humu mnaishi dar aiseee wenye joto huku koromije tunabakia kuwashangaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UlijuajeWewe huyu TH π π π
Daah umeniacha njia panda wengine jiografia na maarifa ya jamii ilikua mbinde sana kuelewa,kwa kifupi NDO WAPI HUKO WEJEMENI?Ata huku kanda kusini mashariki ni joto tu