Nilidhani ni ID yako 😂
Nilikumiss pia bae,, machungu yote kwisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikumiss bae, I hope machungu yameisha
Me mjamwepesi 💃
Nilikusubiri Geti la JuuHaukuja [emoji19]
Niko mzima, hofu kwako tuNilikumiss pia bae,, machungu yote kwisha
U mzima lakini?
Nilikumiss pia bae,, machungu yote kwisha
U mzima lakini?
Hata 📱 hukukumbuka kunicheck nayoNilikusubiri Geti la Juu
Sawa bae, hilo ondoa shaka, tayala nmepata mwenyeji the blues[emoji8][emoji8][emoji8]
Siku moja moja uwe unakuja the blues
Hmm huko kwenu tu, huku kwetu hamnaArusha mvua kubwa leo
Jua linapiga tuHmm huko kwenu tu, huku kwetu hamna
[emoji23][emoji23][emoji23]kaongea ukweli mtupuEti fact [emoji23][emoji23]
Arusha mvua inanyesha wapi? Me naona vinyunyu vinashtua na kukataJua linapiga tu