Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,389
- 59,151
[emoji24][emoji24][emoji24]Kurudishwa ndio msahau kabisa
Basi tutakomaa hapahapa
[emoji24][emoji24][emoji24]Kurudishwa ndio msahau kabisa
[emoji2][emoji2]Nimekula lizima peke angu [emoji14]
Sielewi ndioHaha kwa hyo nikirudi nmechelewa hunielewi
😂😂😂😂😂haha acha nianze kusogea
#haliyahewainafaablanket
#blanketlakupumua
kumbeeeeeeeArusha mvua inanyesha wapi? Me naona vinyunyu vinashtua na kukata
Woiiiiiiikumbeeeeeee
ndio maana depal baadhi ya nyakati unakuwa huna tofauti na mwanadamu aliyenusa cha arusha.
ulishawahi kumuona raisi akienda chooni?
ulishawahi kumuona raisi akienda chooni?
pengine kiziwi au bubu ndio maana ameshindwa kuitikia wito wako.Yaani me mpaka nimemuita lakini kanichunia
😢
😂😂 sawa hajasikia lakini hata kuona pia?pengine kiziwi au bubu ndio maana ameshindwa kuitikia wito wako.
muite kwa alamu za PM huenda akajitokeza.
teh teh teh
Hapo ilipokua busy, sio mimi niliyekua naongea naye.nilipiga ikawa iko busy [emoji2]
pengine ana makengeza😂😂 sawa hajasikia lakini hata kuona pia?
Huyu mtoto G unanibambikizia ujue lkn😀😀Nasikia pafyumu yako baba G 😂😂💃💃
😂😂😂😂😂Huyu mtoto G unanibambikizia ujue lkn😀😀
duh hata kwa njia ya TBC?Rais enyewe sijawai kumwona