Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Haha jiteteeni tu[emoji23][emoji23][emoji23]kaongea ukweli mtupu
Kwan kutag kama hivyo kuna uhusiano gani na kumjua mtu ana ID nyingi?Nilidhani ni ID yako [emoji23]
Nipo poa kabsa, hali ya hewa vipi huko?Niko mzima, hofu kwako tu
Mawingu sana, na mvua kiasiNipo poa kabsa, hali ya hewa vipi huko?
Arusha kubwa, huku kwetu ni balaaArusha mvua inanyesha wapi? Me naona vinyunyu vinashtua na kukata
😂😂😂😂 emu mrudi mlipokuwaTumehamishiwa huku?
Poleni sana, amkeni mkalimeArusha kubwa, huku kwetu ni balaa
Namzingua tu baeKwan kutag kama hivyo kuna uhusiano gani na kumjua mtu ana ID nyingi?
nilipiga ikawa iko busy [emoji2]Hata [emoji336] hukukumbuka kunicheck nayo
Ndio broKumbe ana bae humu
Huku salama mamii,sijui huko wanasemajeNzuri mwaya, za huko ulipo!
Kwa kujitetea tu 🙌nilipiga ikawa iko busy [emoji2]
Haha kwa hyo nikirudi nmechelewa hunielewiHaha jiteteeni tu
Tunasubiri kurudishwa maana hatujui tumefika vipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] emu mrudi mlipokuwa
Tukalime watoto labdaPoleni sana, amkeni mkalime
Umekatiana na nani hayo mahindi?Mawingu sana, na mvua kiasi
Nimeshakula mahindi mpaka meno yanauma
Kurudishwa ndio msahau kabisaTunasubiri kurudishwa maana hatujui tumefika vipi
Nimekula lizima peke angu 😛Umekatiana na nani hayo mahindi?
haha acha nianze kusogeaKwa kujitetea tu [emoji119]
#Leoujemapemahaliyahewasiorafiki [emoji125][emoji125]