Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mpendwa wangu Shimba ya buyenze
Hujanitendea haki mpendwa. Yaani nilimisi picha yako kwa sekunde tu nikakuta ushaifuta. Nikalia weee uirudishe lakini wala hukujali mpendwa. Whai?

Ushombe shombe na ulimwende wa Mashariki ya Kati nitaushuhudia lini jamani? Siyo fea mpendwa. Uliyemwekea nikamuuliza na yeye akawa analia eti hakuidaunilodi. Basi mateso tupu mpendwa [emoji24][emoji24][emoji36][emoji36]
 
Vimbunga msotoko?
Nadhani hata kwetu huku vinapatikana.
Kwa sasa hali ya mambo ikoje Florida ?
 
Hivi ulikuwepo online nilipoweka picha yangu nashukuru niliifuta sekunde kabla wachomoa betri hawaja sreenshort 😀😀😀
 
Vimbunga msotoko?
Nadhani hata kwetu huku vinapatikana.
Kwa sasa hali ya mambo ikoje Florida ?
Aisee sijui. Niliondoka FL kitambo. Ila msimu wao wa hurricane huanza Juni 30 mpaka Desemba 30. Kwa hiyo sasa wapo katikati na bahari ya Atlantic inaweza kujikoroga wakati wo wote na kuleta maafa. Nilishashuhudia hurricane 4. Sikuzipenda. Mchana inageuka usiku, umeme hakuna, maji kama wakati wa Nuhu na upepo mkali unabeba mavitu na kuyagonga huku na huko. Kikija kupita ukitoka nje utafikiri jitu lenye nguvu na hasira nyingi limepita na kuitikisa miti yote na mingine kuing'oa kabisa na kurusha vitu huku na huko. Ndipo utagundua kwamba kama binadamu, pamoja na teknolojia na maarifa yetu yote, kwa mother nature bado saana tena sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…