Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
😂 😂😂Nimemvulia kofia. Amefuzu na kupitiliza mpaka wasimamizi wake waliompa hiyo PhD wanamshangaa [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Toka Majuzi nilimuona anayo talent akasema anawakilisha tu, sasa namuona kaamua kujilipua kabisa