moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nini? Jikaze. Shwaiiiniii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1227731
Waachie wenzio kamanda [emoji16][emoji16]
Kila mtu apambane na hali yake kamanda. Hujui mimi nilivyohangaika kupata hii bahati leo...na please usiilalie mlango wazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Duniani hapa ni kila mtu na lwake kamanda. Wengine majimama, wengine vimbaumbau vyenye njaa, wengine misambwanda, wengine flat screen ali mradi kila mtu na ridhiko lake. Na kwa wazungu huko maumbile haya yanatamaniwa sana na operesheni za kuyakuza ni biashara kubwa ya mamilioni kama siyo mabilioni.
Hehehe! Nikajua unataka kumuingiza ndani ya 18 umbutue shuti kama la yule mtu mweupe dhidi ya United au lile la ModricDavet hizo comment zako zimakalia kiuchochezi zaidi, kiukweli sikuwa na dhamira yoyote ya kuanzisha mabishano dhidi ya Bradha.
teh teh teh
nilichokusudia nimuingize kwenye mtego then wabishane na Numbisa baadae mjinga mimi niwe na kazi ya kuchochea kuni kila upande kama bilisi.
bahati mbaya mkakati ulifeli njiani.
Nilimpigia pasi Numbisa halafu akanishughulikia mimi mwenyewe 😀😀😀😀Davet hizo comment zako zimekalia kiuchochezi zaidi, kiukweli sikuwa na dhamira yoyote ya kuanzisha mabishano dhidi ya Bradha.
teh teh teh
nilichokusudia nimuingize kwenye mtego then wabishane na Numbisa baadae mjinga mimi niwe na kazi ya kuchochea kuni kila upande kama bilisi.
bahati mbaya mkakati ulifeli njiani.