moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Amin
Amani itawale jioni hii
Amani itawale jioni hii
Asante kwa wimbo mzuri King, Siku yako imekwendaje.?TH. Mis you too much aisee
Baby Love by Otile ikuhusu
Wapi hii bro?Ziwa lililpo katikati ya msitu mnene, mwanadamu hajawahi kuweka kwato zake hapoView attachment 1227844
#bintimpoleasionehiyopost
Shuti kama la Adama Traure?Hehehe! Nikajua unataka kumuingiza ndani ya 18 umbutue shuti kama la yule mtu mweupe dhidi ya United au lile la Modric
Mzee wa TMK unawafunika wenye kazi zao sasa
Ilikwenda vizuri kidogo ila nimekuona sasa inaenda vizuri sana. Mambo vp aisee?Asante kwa wimbo mzuri King, Siku yako imekwendaje.?
namuheshimu sana lionel messi (baada ya man utd naishabikia barcelona)Hehehe! Nikajua unataka kumuingiza ndani ya 18 umbutue shuti kama la yule mtu mweupe dhidi ya United au lile la Modric
Hahah
Asante kama unanifatilia vyema mzee mwenzangu
#kunakituchakuongeza?
#nipemaujuzitena
Kwema sana kamanda vipi hali yako?Salaam Davet
[emoji16][emoji16][emoji16]Unachokitafuta utakipata [emoji2][emoji2]...
Hahah! Umeshindwa kuvumilia kabisa broShuti kama la Adama Traure?
Haha hashtag mbona fureshi tuAah! Jamani hiyo hashtag ya pili ata wewe?
Mambo vipi lakini?
#tunabimazaafyaView attachment 1227748
Tahadhari
Niko hapa[emoji16][emoji16][emoji16]
#naombaniitiebaewauzi
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji849].
Funika Kombe mwanaharamu apite[emoji2211][emoji2211][emoji2211]