Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanaume kazi..
FB_IMG_1570606686888.jpeg
 
Hahahaha, jamaa yangu umeamua kumsaidia sheitwani majukumu yake[emoji849][emoji849][emoji849]
Davet hizo comment zako zimekalia kiuchochezi zaidi, kiukweli sikuwa na dhamira yoyote ya kuanzisha mabishano dhidi ya Bradha.
teh teh teh
nilichokusudia nimuingize kwenye mtego then wabishane na Numbisa baadae mjinga mimi niwe na kazi ya kuchochea kuni kila upande kama bilisi.

bahati mbaya mkakati ulifeli njiani.
 
Back
Top Bottom