carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23]unajifanya hujioni ulivyolegea eeh?Haha carba bhana,, kwamba tayali nmelegea
[emoji23][emoji23][emoji23]unajifanya hujioni ulivyolegea eeh?Haha carba bhana,, kwamba tayali nmelegea
Power
[emoji23][emoji23][emoji23]Haha
#kabsabae
#achatulijengesasa
HeheheTH. Mis you too much aisee
Baby Love by Otile ikuhusu
[emoji847][emoji847] Mambo Safii kabisaa, Nini unachoninyima.?[emoji6]Ilikwenda vizuri kidogo ila nimekuona sasa inaenda vizuri sana. Mambo vp aisee?
Aisee sijui. Niliondoka FL kitambo. Ila msimu wao wa hurricane huanza Juni 30 mpaka Desemba 30. Kwa hiyo sasa wapo katikati na bahari ya Atlantic inaweza kujikoroga wakati wo wote na kuleta maafa. Nilishashuhudia hurricane 4. Sikuzipenda. Mchana inageuka usiku, umeme hakuna, maji kama wakati wa Nuhu na upepo mkali unabeba mavitu na kuyagonga huku na huko. Kikija kupita ukitoka nje utafikiri jitu lenye nguvu na hasira nyingi limepita na kuitikisa miti yote na mingine kuing'oa kabisa na kurusha vitu huku na huko. Ndipo utagundua kwamba kama binadamu, pamoja na teknolojia na maarifa yetu yote, kwa mother nature bado saana tena sana...
Hivi ulikuwepo online nilipoweka picha yangu nashukuru niliifuta sekunde kabla wachomoa betri hawaja sreenshort [emoji3][emoji3][emoji3]
Ila nilipambana sana mpaka nikaipata. Ngoja niishie hapa mpendwa. Na kwa vile umefunga PM basi haina neno mpendwa [emoji16][emoji16]
Itakuwa ulimpendea manyoya[emoji125]
Hahahaha hakuna mtu alifanikiwa kuipata nauhakika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakuwa ulimpendea manyoya[emoji125]
Hahah...yule jamaa alifanya siku yangu niimalize safi kabsaHahah! Umeshindwa kuvumilia kabisa bro
Mapenzi yanayo nguvu sana
TRM nakuona 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]
#mtaachanatu
No pain, no gain [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1227820
Busara nyingi imejaa kwenye maandishi mekundu, hao jamaa wanajua sana hapo ni swala la moyo wako tu unamuangukia nani....namuheshimu sana lionel messi (baada ya man utd naishabikia barcelona)
namheshimu sana ronaldo.
hivyo basi siwezi kupoteza muda wangu kuwafanyia comparison ya kipuuzi hao wanadamu wawili magwiji labda niwe na hamu ya kushuhudia ligi ya maneno kutoka pande mbili hasimu kama ilivyokuwa leo.
sijui malaika gani alimshushia wahyi bwana Bradha mchana wa leo, kibaya zaidi alikuwa peke yake na ningelimuunga mguu na mkono Numbisa mpaka kucheleeeeee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
#naombaniitiebaewauzi