Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Hahahaha hakuna mtu alifanikiwa kuipata nauhakika πππππIla nilipambana sana mpaka nikaipata. Ngoja niishie hapa mpendwa. Na kwa vile umefunga PM basi haina neno mpendwa [emoji16][emoji16]
Aah! Jamani hiyo hashtag ya pili ata wewe?Mambo ya kawaida tu ππ
#Kinghimself
#salamaBro?
Fungua PM nikuhakikishie mpendwa. Kwa nini tuandikie wino na mate yapo?Hahahaha hakuna mtu alifanikiwa kuipata nauhakika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Una niletea ujanja wako πππFungua PM nikuhakikishie mpendwa. Kwa nini tuandikie wino na mate yapo?
Hahah!Hahah
Asante kama unanifatilia vyema mzee mwenzangu
#kunakituchakuongeza?
#nipemaujuzitena
Mimi siyo mjanja mpendwa Hawachi. Nifungulie PM pulizi [emoji16][emoji16]Una niletea ujanja wako [emoji3][emoji3][emoji3]
Nimefungua na kama sio kweli upendwa mimi nawe umekufa leoMimi siyo mjanja mpendwa Hawachi. Nifungulie PM pulizi [emoji16][emoji16]
Inawezekana aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Mbona kama mgonjwa
Hizo nyonyo hapana aiseeInawezekana aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1227824
Amehamishia makalio kifuaniInawezekana aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1227824
Hahah! Hakuna cha ajabu mpendwa wetu Mimi, CP na SYB. Naona bradha na upole wake alitaka kuingia kwenye mabishano na yule jamaa kutoka Zanzibar sasa ungechambwa mpaka akomeKuna nini kilitokea mpendwa nianze nianze kusoma comments moja baada ya nyingine ππππ
Labla kachoma sindano yaongezeke ukubwaHizo nyonyo hapana aisee
Hauwezi kufa mpendwa. Asante sana. Angalau leo nimepata bahati ya kukusalimia "rasmi". Endelea kubarikiwa mpendwa Hawachi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nimefungua na kama sio kweli upendwa mimi nawe umekufa leo
Alafu utakuta eti kuna mijamaa inapenda hizo dizainLabla kachoma sindano yaongezeke ukubwa
Bradha siyo mpole. Ni mkorofi wa chini chini. Nilikuwa natamani kweli rolo modo wangu amnyoroshe leo [emoji16][emoji16][emoji16]Hahah! Hakuna cha ajabu mpendwa wetu Mimi, CP na SYB. Naona bradha na upole wake alitaka kuingia kwenye mabishano na yule jamaa kutoka Zanzibar sasa ungechambwa mpaka akome