Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mmmh we nae mtemebezi jamani, kumbe kule unafika.
Ngoja niende nikakusake hd nikuone.
Hakajambo kbs.

Kiufupi mi sijawahi kuachwa, sema nilikuwa likizo kidogo nikaamua kukuachia ila naona unataka kujimilikisha mazima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka nifukue kaburi?[emoji23][emoji23]

Mzima lakin?kajamaa hakajambo?
#niliwaonamahali[emoji7][emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…