Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwenyezi Mungu atujaalie Ijumaa njema
FB_IMG_1568473552147.jpeg
 
Mhispaniola huyo na beki wa zamani wa Manchester United, Pique , 32, - mwenye watoto wawili aliozaa na mwimbaji wa pop, Shakira aliripotiwa kuwa na mpango wa kuinunua County, ambaye ilishushwa kutoka kwenye EFL msimu uliopita na kuwa timu ya mchangani.
 
Mpango wa Pique ilikuwa kuimiliki timu hiyo na kisha kuchukua wachezaji makinda wa kutoka Barcelona na kuwapeleka kwenye timu hiyo ili wacheze soka huko England. Lakini, timu hiyo ilikumbwa na tatizo la kipesa ambalo lilimfanya Pique ashindwe kuwapatia pesa walizokuwa wakidaiwa kumaliza madeni yao. Mazungumzo baina ya mmiliki wa County, Alan Hardy na kampuni ya Pique, Kosmos Global Holding yalifanyika huko London.
 
Pique, aliitumikia Man United kwa miaka minne kabla ya kurudi Barcelona mwaka 2008, alianzisha kampuni yake ya Kosmos kwa kushirikiana na Hiroshi Mikitani, mwanzishi wa kampuni ya Kijapani ya biashara ya mtandaoni, Rakuten, ambao walikuwa wadhamini wa Barcelona mwaka 2017.
 
Februari mwaka huu, nahodha wa Los Blancos, Sergio Ramos alipewa adhabu ya mechi mbili na Uefa baada ya kuonekana kwamba alijifanyisha makusudi ili apewe kadi ya njano kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 dhidi ya Ajax, akiamini kwamba timu yake itakwenda kushinda mechi ya marudiano na kuwatupa nje Wadachi hao.
 
Ramos alimchezea rafu ya makusudi Kasper Dolberg.
Baadaye mwenyewe alisema: "Ningekuwa muongo kama sitasema kwamba nililazimisha kuonyeshwa kadi ile ya njano."
Kinachoelezwa ni kwamba Pique ametumia ujanja huo kujiondoa kwenye hatari ya kukosa mchezo wa El Clasico kwenye La Liga.
 
Back
Top Bottom