Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Umeamua kumwaga mboga bro.. Dah
Hahah!Umeamua kumwaga mboga bro.. Dah
Amin baeAtakae sitili aibu ya binadamu mwenzake basi nae Allah subuhan wa'ataal atamsitili aibu zake..
Tujitahidi kufichiana mapungufu yetu.. Insha Allah
Ijumaa njema!!
π π πAtakae sitili aibu ya binadamu mwenzake basi nae Allah subuhan wa'ataal atamsitili aibu zake..
Tujitahidi kufichiana mapungufu yetu.. Insha Allah
Ijumaa njema!!
Kikiwa kimoja D ndio kinakua Kingunguti ππKingunguti ndio wapi D πππ
#Vingunguti
πππ kieneo cha kingungutiKikiwa kimoja D ndio kinakua Kingunguti ππ
πππππππ kieneo cha kingunguti
#alooo emu acha bangi D
Siku akipost humu tutaishambulia post yake kwa likes mpaka ife