capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nilitaka nimtag Kgothalo lakini wacha nikaushe usijesema me snitch π π πhahahahahahahaha,
Mara pwaaaaah, nachukua namba unapewa benchiππππ
#timeWillTell
Hataaaaa, mm nakuzoom tuu.Bradha mabao 700 naona unafurahiaaaaa
Kwa hivyo unapambana π π
Hakuna ugonjwa nauchukia na ambao huwa naugua sana kama mafua.#Umpeiliutorokeweeknzima
Kimtindo sijambo mafua yanazidi kutawala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Miminatanianatu
#Wenyewewanafanyakweliilakisirisiri
Sielewi inawezekanaje!!!
Hahah! Kwamba ni maajabu sio?
Alafu nilishakula ofa ambayo ilikua ngumu kuikataa pia ngumu kuikubali hadharani, ngoja nikafukue makaburi
Mzeee mama, nimependa vijumbe murua hivi
#NielekezeLibrary
#NimtumiesoulmateWangu
Bro rangi haitoki nikifua??
#kichwakipi?Eti madai yake ni hataki kuwa na bichwa kubwa
Eti sembe inaongeza ukubwa wa kichwa
Hivi ndo umegoma kukata kucha?
Wewe kweli Soulmate maana malalamiko juu ya mafua unavyoyatoa kama unaniongelea mimi vile....Hakuna ugonjwa nauchukia na ambao huwa naugua sana kama mafua.
Nayachukia kwakweli.
#nilikupadawajuziukakataa
#uguaupone
#usipoponakunywaKVant
Yes Frag tukiwa free ndio mambo tunafanya hayo