moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Sasa huyu Capitalpool anataka akapuyangie kwenye matope hukoo akirudi aviloweke afue!! Itabidi awe na pea nyingi kweli...Tukirudigi kwenye hiyo mishe watu wanaokuja wengi ni watoto wa maeneo yetu yale kule wanatembea kwa miguu minne kwahiyo sio wafuaji sana wa viatu hivyo malalamiko ya kuchuja hayapo.....
Ila kama nilivyokuambia hapo juu ukifua sana lazima itachuja tu
Salaam Moudy...Salaam Fragaria
Wimbo mzuri
Bahati!!??kuna mingine inabaka tigo kwa ma dildo makubwa hasara iliyoje
Hongera, kazi nzuri King!Leather shoes ukifua inatoka ila baada ya muda flani sio kwa mara moja View attachment 1232027
Lakini kikiwa na materia ya kitambaa kama nguo hivi inakua mkataba japo nayo ikifuliwa mara nyingi inapauka
View attachment 1232028