Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fabric kwa vumbi la kufuta na kutakatisha si uchafu wa kufua.
Endepo nikiamua kufua, Davet hiyo rangi haichuji??
Tukirudigi kwenye hiyo mishe watu wanaokuja wengi ni watoto wa maeneo yetu yale kule wanatembea kwa miguu minne kwahiyo sio wafuaji sana wa viatu hivyo malalamiko ya kuchuja hayapo.....

Ila kama nilivyokuambia hapo juu ukifua sana lazima itachuja tu
 
Tanzanite
FB_IMG_1570951845651.jpeg
 
Hataaaaa, mm nakuzoom tuu.

Hujajibu hoja ya wastani wa magoli 2 kwa kila mechi vs 1.7.Ukimya wako unaniaminisha kuwa umekubali kushindwa.
Bado hujajibu swali lini CR7 alistaafu soka la kimataifa kisa kipigo cha aibu akiwa na beji ya ukapten portugali?

Kumbuka upungufu wa hizo mechi za mandevu ulijumuisha na kustaafu kwake kiuongo na kweli ili abembelezwe na kuabudiwa
 
Back
Top Bottom