Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tukirudigi kwenye hiyo mishe watu wanaokuja wengi ni watoto wa maeneo yetu yale kule wanatembea kwa miguu minne kwahiyo sio wafuaji sana wa viatu hivyo malalamiko ya kuchuja hayapo.....

Ila kama nilivyokuambia hapo juu ukifua sana lazima itachuja tu
Sasa huyu Capitalpool anataka akapuyangie kwenye matope hukoo akirudi aviloweke afue!! Itabidi awe na pea nyingi kweli...
 
1.MISITU HUTUPATIA MVUA:Si rahisi kuelewa moja kwa moja kwa mtu asiyesoma jiografia , lakini ukweli nim kwamba misitu huchangi kwa kiasi kikubwa katika upatikanaji wa mvua. Mvua nayo inma umuhimu mkubwa katiak Maisha yetu ya kila siku,kwa kutupatia Maji safi na kukuza mazao mashambnani. Ukosefu wa mvua kwa muda mrefu hupelekea Ukame na Baa la Njaa katika jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…