moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mvua kutwa..mpaka sasa.
Usiku wa kupeana raha
G.night Guys.
Yupo Tanga ameolewa na wakusoma [emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Shule..
Mpare alikuwa anatumia misuli sana kumdhibiti Baby wake. Walikuwa wakija kwenye uzi wote wawili na kuondoka pamoja. Alijaribu sana jamaa mmoja anaitwa sijui Big Baba lakini akakwama. Hatujakaa sawa Mpare katangaza kuwa keshapiga mtu mimba. Mchezo ukawa finito...
👍👍Hapa kwetu leo tumepata jua
AiseeUsiku wa ice cream View attachment 1232518