Tulikuwa na Dini zetu za kale.
Mizimu ya mila
Kwenye baadhi ya maeneo Dini hiyo bado ipo.
Maeneo kadha ya nchi ilikuwa na Mizimu yake, iliombwa mvua, watoto,mavuno kuondoa mikosi .
Dini hizi pia zilitoa miongozo ya maisha.
Kuna Lyamba Lya Mfipa (Rukwa na maeneo ya jirani)
Mizimu ya Uchaga,
Mizimu ya Kolero (Waluguru, na ndugu zao wa mkoa wa Pwani).
Mizimu ya Milima ya Usambara nk.
Pia kulikuwa na Dini za kuabudu Mito,Miti, Makaburi, Miamba nk.
Labda Dini hizi za Kiafrika ndiyo upagani lakini ziliwatosha wahusika