moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu bro capitalpool tusipokua makini atatuingiza chaka tupate fumanizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Huyu bro capitalpool tusipokua makini atatuingiza chaka tupate fumanizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mali za watu hizi bro usinitafutie kesi. Juzi hapa ukanifungisha ndoa ya mkeka na mpendwa Hawachi. Leo tena unataka kunipa Madame Khantwe. Mjini hapa bro na usione vinaelea...vimeundwa na vina wenyewe ohooo !!!