Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tulikuwa na Dini zetu za kale.
Mizimu ya mila
Kwenye baadhi ya maeneo Dini hiyo bado ipo.
Maeneo kadha ya nchi ilikuwa na Mizimu yake, iliombwa mvua, watoto,mavuno kuondoa mikosi .
Dini hizi pia zilitoa miongozo ya maisha.
Kuna Lyamba Lya Mfipa (Rukwa na maeneo ya jirani)
Mizimu ya Uchaga,
Mizimu ya Kolero (Waluguru, na ndugu zao wa mkoa wa Pwani).
Mizimu ya Milima ya Usambara nk.
Pia kulikuwa na Dini za kuabudu Mito,Miti, Makaburi, Miamba nk.
Labda Dini hizi za Kiafrika ndiyo upagani lakini ziliwatosha wahusika
Tulikua na dini gani bro?
 
Kabisa mkuu, ebu cheki hii picha alafu nambie umeelwa niniView attachment 1234529
Homo Sapiens hana usapiens wo wote sometimes. Mwone sasa. Anaharibu mazingira bila kujali. Amerundika masilaha ya nyuklia ambayo siku moja yanaweza kumtokomeza kabisa akatoweka mazima katika dunia hii...kiumbe mharibifu sana !!!
 
Pamoja na dini hizi kushambuliwa sana sana lakini bado zipo na zimekataa kufa; na zimefanikiwa kuchangamana na dini mpya za watawala wetu mumo kwa mumo.
 
Safi sana kamanda.
Nimepata masimulizi ya aina hiyo tangu nikiwa na miaka 8, nikaendelea kujifunza mpka sasa.
Nimeamini kwamba walikuwa na dini zilizokuwa na nguvu sana kulingana na nyakati zao.
Ina maana kabila lako bro hamkuwa na miungu au mizimu mliyokuwa mnaiabudu? Toka ushuani uende kijijini kwa babu zako ukaulizie aisee...Utasimuliwa mpaka jinsi kabila lenu lilivyoanza, Adam na Hawa wenu, dunia ilivyoumbwa; na mengineyo....
 
Nilivyojisikiaga kutafuta maana ya neno Dini moja kwa moja nilikutana na maana ya Imani ambayo iliyokua inaconnect na Muumba pamoja na sheria zake(Obvious ndio itakua hizo tulizoletewa)......

Ila tumeelewana sana mana nilikua sijui kama na hayo mambo ya Mizimu nayo ni Dini...

Kuna mahali huwa napita nakuta makuhani wa dini hizi wanaendelea na ibada zao kama kawaida wakiwa na waumini wao.
Nimejifunza mengi kupitia dini hizo.
Nadhani wanachotakiwa kufanya ni kutoa miongozo yao kwa njia ya maandishi "Kitabu".
Nina hakika wangekuwa na Kitabu Dini hizi zingekuwa na nguvu sana
Pamoja na dini hizi kushambuliwa sana sana lakini bado zipo na zimekataa kufa; na zimefanikiwa kuchangamana na dini mpya za watawala wetu mumo kwa mumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…