moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mali za watu hizi bro usinitafutie kesi. Juzi hapa ukanifungisha ndoa ya mkeka na mpendwa Hawachi. Leo tena unataka kunipa Madame Khantwe. Mjini hapa bro na usione vinaelea...vimeundwa na vina wenyewe ohooo !!!
Acha uoga Bro, Unaogopa nini?
Ameen 🙏Mwenyezi Mungu atujaalie usiku huu tuumalize salama[emoji120]
Ni wakati wenu huu. Akina Coco! Hii ni dunia ya kupokezana vijiti bro...Acha uoga Bro, Unaogopa nini?