Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
ππππOh Jizazi...
Msindikize ikibidi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mie wa enzi za tshala mwanaJoyce Wowowo na Yondo Sista hujawahi hata kuwasikia halaf unaitaka shikamoo yangu... Utasubiri sana[emoji2][emoji2][emoji2]
tuma salamu kwa watu watatuAiseee πππ
Asante nimeweza
πππππππYaani hadi kwenye uzi uko na wivu mpendwa natania haendiπππππ[emoji15]
SikuonaShukrani kwa maelezo mazuri bro
#bintimpoleaonehapaBae.. Bro Shimba kaelezea vizuri hapo juu, ni msanii wa mziki wa rhumba/lingara kutoka Jamhuri ya Congo alitamba sana mwanzon wa miaka ya 80 na mwishon wa miaka ya 90...
Kama nimekosea, bro Shimba atanirekebsha
Bonge la mwanamuziki toka pande za kongo. Yule mmama ni balaa ingia you tube ujionee video zakeHivi huyu Yondo sister ni Nani?
Kwani mdogo wangu mzuri nani aliye kuita chumbani maana mimi nimecomment sijui mwanzo ni upiππππππ huko chumbani kwake aku me siendi.
Nakusalimia Dada mzuri π
Duh! NitaendaBonge la mwanamuziki toka pande za kongo. Yule mmama ni balaa ingia you tube ujionee video zake
Kisulisuli lina trendi sasa hivi baada ya video ya Mch. Rwakatare akiombea mamia kama siyo maelfu ya wanawake wanaotafuta wanaume. Alikuwa anasema kuna upepo wa kisulisuli unasomba wanaume huko waliko na kuwaleta kwa hao mabinti waliokuwa wamejitokeza ili kuombewa.Sijambo mpendwa naomba kujua maana ya kisusuli na kumwambafai [emoji848]
Ni huyo uncle wa kolomije πΆπΆKwani mdogo wangu mzuri nani aliye kuita chumbani maana mimi nimecomment sijui mwanzo ni upiπππππ
Kwa vile na wewe hukuwepo basi huna hata imani na maelezo yako. Andaeitini jiamini !!!Shukrani kwa maelezo mazuri bro
#bintimpoleaonehapaBae.. Bro Shimba kaelezea vizuri hapo juu, ni msanii wa mziki wa rhumba/lingara kutoka Jamhuri ya Congo alitamba sana mwanzon wa miaka ya 80 na mwishon wa miaka ya 90...
Kama nimekosea, bro Shimba atanirekebsha
Shukrani mpendwaKisuliauli lina trendi sasa hivi baada ya video ya Mch. Rwakatare akiombea mamia kama siyo maelfu ya wanawake wanaotafuta wanaume. Alikuwa anasema kuna upepo wa kisulisuli unasomba wanaume huko waliko na kuwaleta kwa hao mabinti waliokuwa wamejitokeza ili kuombewa.
Kujimwambafai ni kujifanya mwamba. Kujidai. Kuringa. Kukomesha...
View attachment 1235218