D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
A Monday evening press conference by South Korean coach Paulo Bento was attended by five North Korean journalists and two KFA staff, who had to return to their hotel to get an internet connection before posting details of the briefing on the association website.Aaah!
Kumbe ni kwa kiduku?
Kuwa na aman mpendwa [emoji2][emoji2]Salama kabisa, wapendwa hapa tupo kwenye utani hakuna kuchukia [emoji3][emoji3][emoji3]
Dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Haha bro... Huo ugali haujaumalizia wote jikon wakat wa kupika? Wasukuma ndio zao kuonja ugali wakati wa kupika
Huku salama kabsa bro, Wasukuma wapo tu, hawana jipya,, tumeshawazoe wakiongea ni kama wanataka kupigana vile[emoji2],,bhasi burudani kwetu
[emoji2][emoji2][emoji2]Mpendwa Hawachi na wewe muda si mrefu tutakupachika jina la ukorofi. You are coming out of your shell...
Wasukuma hatupendi chini bana. Siye tuachieni ushamba wetu. Haya mengine mnatusingizia tu.
Nilimtania tu shemeji yangu...ila sometimes tunakulagaaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Volume iko juu sana [emoji2][emoji2]
Mahakama ya Rufani imetengua hukumu na amri ya Mahakama Kuu kuzuia wakurugenzi wa halmashauri, manispaa, na majiji kusimamia uchaguzi mkuu kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Kwa maana hiyo wakurugenzi wanaruhusiwa kusimamia uchaguzi
#MwananchiUpdates
##Yajayoyanasikitisha[emoji124][emoji124][emoji124]
Mpaka Biblia editions zingine sasa wanabadilisha pronouns isiwe tu he na she eti kuifanya Biblia iwe inclusive watu wengine wasitengwe.Ladies and gentlemen and those confused souls
[emoji2][emoji2]